Mkuu picha Sina hapa. Mashine nimeiacha nilipokuwa lushoto kwa sasa nipo mkoa mwingine kituo cha kazi. Kama upo huko naweza kukuelekeza kwenda kuiona kanza ndio tuongee biashara.
Hahaha mimi sio dalali nauza mashine yangu mwenyewe. Kiufupi nilinunua hiyo nikiwa na lengo la kuanzia maisha ya kitaa baada ya kumaliza chuo. Mungu amesaidia nimepata kazi baada ya kumaliza chuo hivyo sitakuwa na muda nayo. Mashine ipo katika hali ya upya boks lake na sisiti ninayo. Useme una...
Habari za muda huu. Maana jamii. Kama tangazo linavyosema nina machine ya kutengeneza bisi (porpcorn machine) naiuza bei laki 3 Machine inatumia umeme ipo Lushoto bado ipo vizuri. Nimeona niiuze baada ya kupata kazi nyingine na sina muda wa kufanya nayo kazi tena. Karibuni
Habari mwna JF! Tangazo ndio hilo!
Ukubwa wa Kiwanja ni mita 18X20
kipo kabuku umbali wa kilometa 1 toka barabara kuu iendayo dar- tanga!
bei 2. mil. (million mbili)
Sipo kabuku kwa sasa hivyo tusameheane sijaweka picha ya eneo.
Karibuni
Habari wadau
Nina Mashine ya popcorn mpya inatumia umeme! nahitaji mtu wa uifanyia kazi. Awe mwaminifu. Nipo Lushoto Tanga. mahali pa kazi sio lazima huku maana huku mim nipo kwa muda ntaondoka. mwenye utayar tutafutane tushauriane wapi pa kufanya kazi na mm nitakuwa na pita pita zingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.