Recent content by Isaac1

  1. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhari juu ya afya ya mwanangu

    Kaka na mm hicho ndo kilichotokea kwa mwanangu dawa haikusukumwa kwenye mishipa bali kwenye nyama.
  2. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhari juu ya afya ya mwanangu

    Asante sana
  3. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhari juu ya afya ya mwanangu

    Asante
  4. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhari juu ya afya ya mwanangu

    Changamoto ni kwamba niko nje ya dar. Asante kwa ushauri wako.
  5. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhari juu ya afya ya mwanangu

    Asante mkuu niko Kahama shinyanga
  6. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhari juu ya afya ya mwanangu

    Kabsa mkuu, kwanza kila mmoja anakwambia lake.
  7. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhari juu ya afya ya mwanangu

    Hiyo iliyoandikwa Flumox ndo nimeambiwa kuwa ni ya kuondoa huo uvimbe, sasa sijui nimsikilize huyu aliyenipa dawa au huyu aliyesema apasuliwe.
  8. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhari juu ya afya ya mwanangu

    Habari ndugu zangu wiki kama moja iliyopita mwanangu alilazwa na akachomwa sindano nyingi sana mikononi ni mtoto wa miezi 11. Sindano zile zilimpelekea kuvimba mkono kwa juu nilivyowauliza hospital wakanijibu hali hiyo itaisha nimesubiri kwa muda wa siku nne sioni dalili za hali hiyo kuisha...
  9. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa hospital nzuri kwa watoto kwa mkoa wa mwanza

    Habari zenu ndugu zangu naomba kujuzwa hospital yenye huduma za kibingwa kwa watoto wadogo kwa mkoa wa mwanza. Natanguliza shukrani zangu.
  10. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Kadi ya chombo cha moto kuendelea kusoma jina la mmiliki wa mwanzo licha ya kubadilisha

    Habari zenu msaada wenu pls kwa hili. Miezi mitatu iliyopita nilinunua bajaji kwa mtu kwa ajiri ya kufanyia biashara. Akanipa kadi na nikaenda TRA (DSM) Ila kutokana kuwa nilikuwa na haraka na naishi mkoani nikaamua kuwatumia vishoka maana bajaji kadhaa nimewatumia. Nikarudi mkoani ili...
  11. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Kutumia simu mbili ktk simu moja

    Habari zenu naombeni kujua je ni aina gani ya redmi yenye uwezo wa kutumia kujigawa simu mbili kwenye simu moja ukiachilia redmi note 11?
  12. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Depo ya bia na soda inauzwa kahama mjini

    Bado ipo na bei imepungua karbuni
  13. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Depo ya bia na soda inauzwa kahama mjini

    Ni tupu hazina vinywaji
  14. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Depo ya bia na soda inauzwa kahama mjini

    Nakosea nini? wateja serious wamepiga simu, maana maelezo yote nimeweka
  15. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Depo ya bia na soda inauzwa kahama mjini

    Bado ipo
Back
Top Bottom