WAJIBU WAKO, SAUTI YAKO, HAKI YAKO!
Ndugu wananchi, demokrasia imara hujengwa na watu wanaotambua haki zao na kuzitumia kikamilifu. Moja ya haki yako muhimu kama raia ni KUPIGA KURA!
Ili kuhakikisha unashiriki katika maamuzi ya taifa letu, hakikisha unajiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la...
Idadi ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakua kwa kasi na hasa katika maeneo ya vijijini kutoka watu milioni 12 (sensa 1967), milioni 33.5 (2002), milioni 44 ( 2012) na milioni 62 (2022), idadi ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa kuongezeka hadi milioni 80 ifikapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.