Yaani inaonesha walienda kwa lengo LA kuwateka, baada ya kufeli wakaamua kujionesha ni polisi na wakiwataka kuripoti central kesho asbh, haiwezekani polisi waje kwako na wamevalia mask na wapo na silaha lakini hawana vitambulisho. Kweli hii ccm ya kishamba sijui inaipeleka wapi hili taifa
RPC si ndo wale mnawapa tu maagizo kamata flani, MTU katolewa toka ifakara mpk Moro mjini hajaambiwa kosa lake na kavamiwa na mitutu ya kutosha na magari matatu akabebwa kama jambazi, mpk central hakuambiwa kosa, mchana wamekaa watafuta kosa LA kuwapa ndo wakaja eti wanafanya kampeni mafala kweli.
Uliza wamekamatiwa eneo gani? Taarifa hapo inajieleza wamevamiwa afu Leo asbh amekamatwa m/kiti bavicha eti anafanya kampeni ya nyumba kwa nyumba.
Hivi we mpumbavu aka nzi wa kijani, kama sheria inavotaka vyama vya siasa kuwa na daftari LA wanachama wao, wangepateje kama siyo kuwafata ktk...
We umetokea nchi gani na hizo sheria unazozisema ni za nchi gani?
Sijui unatumia kiungo cha sehemu gani kufikiria, acha kuwa na akili magugu, watu wanaandikisha wanachama wao kama sheria inavotaka ww unakuja na umalaya wako eti wakamatwe, shenzi tyme pumbavu kabisa ww
Hapo ni kitu kimoja tu wanakiogopa ambacho ni kwamba wakiruhusu pesa kuingia kirahisi kutoka nje itawafanya vyama vya upinzani kupata funding kirahisi kuchochea shughuli za wapinzani kuimarisha vyama vyao. Huu uwoga wa serikali ya ccm ndo maana wakiona kuna tajiri mkubwa anasapoti shughuli za...
Mantiki yangu ni kwamba hao waliofanya hiyo analysis wamefeli coz mpk sasa tunaona tunahangaika na korosho wakt huku shughuli za kiuchumi zinazotegemea hiyo korosho zikiendelea kuyumba na korosho kulala na pesa zilizopaswa kuingia ktk mzunguko na kuchochea shughuli za kiuchumi. Pia bila kusahau...
Matatizo hayawezi kwisha hilo LA kwanza ulitambue, matatizo ndiyo yanayotufanya watu tupate fursa za kupata kazi.
Ila inatia aibu kama serikali ndiyo chanzo LA tatizo tuchukulie mfano mzuri suala korosho walipeleka sheria ya kuvunja bodi, walishauriwa wakagoma, wabunge wa mikoa ya walipojaribu...
Mara ya pili hii sasa anawaita ikulu. Maswali ya kujiuliza mile kipindi cha kwanza alipowaita maazimio gani waliafiki? Na je, hayo maazimio utelezwaji wake umeendaji au unafanyikaje mpk sasa?
Isijekuwa tu ni maigizo kama maigizo mengine ya kuwaita maaskofu pale mjengoni mwishowe wanakunywa...
Naona unasahau matatizo yote tunayokumbana nayo yanasababishwa na utendaji mbovu wa serikali yetu. Nikakaa chini na kutafakari huwa nashindwa kupata majibu juu ya hili ambalo serikali yetu inatufanya sisi mavuvuzela na kuendeleza ujinga kwa watanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.