Recent content by Isa khamisi

  1. I

    Mkuu wa Mkoa, Wilaya atakayemsweka mtu mahabusu bila sababu kuchukuliwa hatua

    Hakuna chochote hapo mara ngapi yeye na yule bwana mdogo mwengine wameshayasema hayo na ndio kwanza kina hapi wanaendelea hats kuyatolea maamuzi mambo ambayo yapo mahakamani na kutia ndani mawakili wakati aliyewateuwa ndiye aliyewapa hiyo nguvu nje ya katiba na sheria hawatowacha hizo hapo...
  2. I

    Zitto: Ripoti ya CAG inaonyesha Sh. Trilioni 4.8 zimetumika bila kupita Mfuko Mkuu wa Serikali‬, Ikulu yatumika kuficha ukaguzi wa manunuzi ya ndege

    Awamu hii walaji wachache lakini wanapiga hasa bila ya huruma wakijuwa wanalindwa na nguvu kutoka juu wapigaji wa awamu zilizopita pesa walikuwa wakizitia mitaani kutumika lakini hawa wa sasa fedha wanazificha ughaibuni hatuzione kabisa mitaani shida tupu.
  3. I

    Bunge kuwa dhaifu haimaanishi kwamba Spika ni dhaifu!

    Ndugai anajijuwa kwamba yeye ndiye dhaifu na ndio maana hata bunge liko dhaifu kwa sababu kiongozi wake dhaifu anaendeshwa na muhimili mwengine kwa remote control ndio maana akareact angekuwa c dhaifu asingejali angeendelea na kazi yake.
  4. I

    Tunataka Ndugai ajiuzulu

    Ndugai bora angejiuzulu naona kazi immemshinda ajishauri yeye kujiuzulu sio amshauri cag ambae anafanya kazi zake kiiueledi na sisi wananchi tunamkubali.
  5. I

    MBUNGE wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM) amesema upinzani wa nchini ni wa udumavu wa kisiasa

    Poyoyo mwenyewe huyo hajui hata kazi za mbunge anafikiria kazi za mbunge ni kusifia sarikali tu.
  6. I

    Mkuu wa Majeshi, Venance Mabeyo ameamua kuanza kuivunja Katiba ya nchi?

    Maneno yote na hali ilivyo sasa nchini kwetu ameieleza vizuri katibu mkuu wa ccm ndugu bashiri hao waliobakia ni ma yoyo yo tu.
  7. I

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Wanaotaka kuvuruga amani ya nchi yetu watakiona cha mtema kuni

    Kw Kwani na wa wapi huyo so ndo wa kule kule.
  8. I

    Kesi za Uhujumu Uchumi zimegeuzwa kuwa Chanzo cha Mapato? Zitto, Mbowe waitaka Ofisi ya DPP kueleza ni kwa Sheria ipi

    Usistaajabu hayo watu wanapandishwa na kufukuzwa kazi kwenye mikutano ya hadhara.
  9. I

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Wanaotaka kuvuruga amani ya nchi yetu watakiona cha mtema kuni

    Tumechoka na kiki hao wa Sudan walisema hivyo hivyo wakati harakati zinaanza lakini baada ya kushamiri na kuona hakuna namna wao wenyewe wakaingilia kati na kumuweka pembeni all bashir kuepusha hayo ni nchi kuendeshwa kikatiba na kisheria na haki za wananchi ziheshimiwe hiyo tisha tisha...
  10. I

    Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

    Uhuni huo ndio utakaotokea katika uchaguzi mkuu ujao wapinzani wawe makini sana.
  11. I

    Chenge, Dkt. Kijaji ‘wapambana’ na Mnyika matumizi ya Tsh. Bilioni 976

    Hizo ndio hizo pesa zinazogaiwa kama njugu majiani.hazina maelezo hizo chenge na bunge linamzonga tu Huyo mnyika lakini ukweli wanaujuwa.
  12. I

    Rais Magufuli amshauri Waziri kuvuta bangi ya Njombe kisiri siri akienda huko awe mkali

    Yeye ni katiba na yeye ndiye sheria madhali kasema hadharani basi tayari ndio hivyo tena.
  13. I

    Kwakuwa Rais wetu anafanya vizuri na wote tunamkubali napendekeza tubadili katiba bunge lisiwepo kwa maana hakuna cha kusimamia..

    Katiba ipi huyo bigi wenu mbona haheshimu na mmkaa kimnya bado mnamshangilia baada ya kumwambia ukweli wacha twende huko mnakotaka nyie c ndio wengi basi tumpe ufalme jiwe atuobgoze zaidi kwenye hayo maendeleo ya vitu mnayoyataka.
  14. I

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan alazimishwa na Jeshi kutoka Madarakani. Inadaiwa kajiuzulu, Uwanja wa Ndege wafungwa

    Yeye ni tatizo pia kwa nini hata hiyo katiba mbovu iliyopo haifuati anafuata matakwa take na chama chake.
Back
Top Bottom