Recent content by Is_haq91

  1. Is_haq91

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Wadau atakae hitaji iyo router anicheck
  2. Is_haq91

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Na ni ujinga zaidi kusahau kama vita kuu 2 za dunia zilitokea na wapiganaji ndo hao hao
  3. Is_haq91

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unachinja mia 7 halafu bado unapigwa na unapokonywa maeneo propaganda zako peleka chekechea.
  4. Is_haq91

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    We am We amini ivo unavyoamini maana nothing makes sense kwa haya unayoamini, Urusi anachinjwa kila siku kwenye mia sita average mia tano kwa mnavyotuaminisha no video no evidence ila maeneo yenu yanachukuliwa kila siku. Kwenu nyinyi hizi sense zenu kwetu sisi ni no sense.
  5. Is_haq91

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yaani hawa jamaaa ukiwaskiliza utadhani wao ndo miungu hapa wakiona umegundua kitu wanakuponda na kukutoa dhamani ila wakiunda wao kelele mpka maiti anaskia. Ila nnacho amini ni kwamba madhali mpka leo marekani anategema sana engines ya rockets za Urus basi Urusi Anauwezo mkubwa sana maana ni...
  6. Is_haq91

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Urusi anajitegemea kwa vifaaa vya kivita na izo shahid drones zimechukuliwa coz they're effective and cheaper than their weapons but wako vizur sana, Russia mpka sasa anapigana kwa mkono moja tu sasa unataka kuona kila kitu wakati hayuko kwenye vita, hii SMO
  7. Is_haq91

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa hili nz any western releted mjinga ni ww.
  8. Is_haq91

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hawa ndo walokuwa brain washed kuamini kwamba kila west anachofanya ni kizur na kila adui ni mchina mrusi au muarab na wao ndo waokozi wa dunia. Wakati ni opposite kabisa wao ndo maadui wa dunia kwa miaka mingi sana na mpka elimu yao na na tecnological advancement zao nyingi ni imported...
  9. Is_haq91

    Tusichokijua kuhusu Starlink

    Kwa Marekan wana package ya Rv ambayo haitaji location ya mtu ila hupati kipao mbele kma nyengine so ata speed yako inaweza kuwa mbaya. Na package ya home huwezi kuhama hama nayo ukiweka kwako ndo hapo hapo. Ntalifatilia zaid hili kuona uhakisia wake
  10. Is_haq91

    Tusichokijua kuhusu Starlink

    Kufungua office mm nasupport kabisa ni swala la msingi kwa sasa.
  11. Is_haq91

    Tusichokijua kuhusu Starlink

    Mpka sasa simu yangu inasoma Gb 167 zilotumika na hapo sikai home kutwa kwenye box inasoma 137 gb na hapo pia sio full day na kuna ps hapo kuna kama 150 gb. Sijaendelea kwengine ila ningekuwa heavy user basi unamaliza.
Back
Top Bottom