Recent content by iron curtain

  1. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwahio NATO walitaka urusi ashinde,kwa maelezo yako
  2. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Kipekee ya Kusafisha Akili, Kufikia Utulivu wa Mawazo na Kuimarisha Ufahamu

    Baada ya kufanya hata sielewi ilikuwaje nimejikuta mikono imeshika chini ,sijui nikizunguzungu ,Sina namba nzuri ya kuelezea Ile hali nilieipata
  3. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Siri ya mizunguko ya asili, nishati, mtetemo na masafa ya ulimwengu

    Maada nzuri sana
  4. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Nimekuwa nikiota maranying naogelea kwenye bwawa la maji na katika kuogelea napendelea kwenye kina kirefu ,naomba unitafsirie hii ndoto
  5. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ni kuidhofisha sio kuiangusha ,ndomaana Putin alisema hata muua huyo zele wenu
  6. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Bado ongeza idadi hio ni ndogo
  7. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mnajifariji! Msongo mbaya sana,endeleeni kujifariji
  8. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii ni smo sio vita Kwa URUSI,Kwa Ukraine kwao ni vita,ndio maana URUSI inapiga Kwa kulilask
  9. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hautekwi ,unakombolewa
  10. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama pingu vle ,ukikaza inakaza zaidi ,sasa uliza anayepaya maumivu ni nani kati ya anaye kaza na pingu.Asante Dubu
  11. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hizo fedha kama moto wa mabua dk zero kwisha,wazilete Tena zingine hizo hazitoshi .URUSI shida silaha analamba na hata fedha pia, kesho Tena utasikia US katoa $8bilion
  12. iron curtain

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    mgen na ki 🐀 ni mapacha wa kufanana wa ubongo,hapa ni URUSI na Ukraine sasa mambo ya dini ya nn
Back
Top Bottom