Recent content by irlema

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu tadhali ili huyu malaika afikie malengo yake

    Asante kwakunipa moyo na ujasiri rafiki nahic nimetoa kitu kizito kifuani kwakuliongea chili kulikonilivyokua nalihold mwenyewe moyoni Mungu ni mwaamifu naamini atatenda
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu tadhali ili huyu malaika afikie malengo yake

    Asante Luv ubarikie rafiki
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu tadhali ili huyu malaika afikie malengo yake

    Asante aligawee
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu tadhali ili huyu malaika afikie malengo yake

    Asante Ukwaju sijawi kuishi nae isipokua kipindi alipokuja kwa lengo la kumjua mwanae name kulazimisha kukaa kwangu kwa wiki2 na wala sijiu alipo kwasasa
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu tadhali ili huyu malaika afikie malengo yake

    Asanteni kwa ushauri wenu nitajaribu na huko pia
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu tadhali ili huyu malaika afikie malengo yake

    Asante mpendwa BHULULU
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu tadhali ili huyu malaika afikie malengo yake

    Habari zenu wana jf. Stories yangu in ndefu ila nimeandika kiufupi naomba usome yote asante. Mimi ni msichana umri 29 ninamtoto Wa kiume umri11yuko grade five anaingia six now kilichonifanya niombe ushauri wenu wanasheria nimemlea huyu mtoto pekeyangu bila msaada Wa upande Wa pili baba yake...
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epuka Kupotezewa Muda Wako

    Duh mmenigutha thathijui nifanyeje
  9. I

    JamiiForums Tanzania Apewe hongera mgunduzi wa PM

    What is PM jaman
Back
Top Bottom