Recent content by ireny d

  1. I

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Peter Mwakiposile amuua mkewe kisa Kikoba

    Wanaume ni wanafiki Sana uyo mke anawazazi wake na ndugu zake hataki mkewe afanye biashara hataki acheze vikoba bado ata ela ya chupi hapati ikitokea mzazi kapata shida uwa niwagumu mno kusaidia familia ya mke wake Ivyo vikoba vinasaidia mno na wao wanalijua ilo bc tuu kujizima data
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hawezi kukupenda kama anavyompenda mke wake, never ever!

    Wanaume mme umbiwa tamaa kwel lakn kunamda mnatukosea Sana wake zenu kwel kunamda tunasahau majukum yetu Kama wake lakn kunamda mtu unaamua tu kuacha sio kwamba kujisahau ila mtu unaamua tuu kuacha Unampenda mkeo kuliko mchepuko ila unamuhudumia mchepuko kuliko mkeo Kunamwanaume apa anakwambia...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

    Sasa ayo maumivu unayosikia ww na kukosa nguvu ya kutusimulia na kutetemeka Kama mayele ndio ambayo mwenzio anayasikia ukimfanyia tukio ulilofanyiwa mkuki kwa ngulue kwa binadam mchungu af ndio ulikuwa unashauri wenzio waishi nao kwa akili
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

    (unyenyekevu na utiii) unauhakika ivyo vitu we uko navyo? Yaan unataka unyenyekewe ndio ulee mwanao unajikuta nani? ( Mwanaume) ili neno sio lahis kihasi icho embu sikia uyo mwanamke unaemzungumzia Apo sio mke au mama wa watoto wako bali Ni mtumwa kwa bosi wake binafs siwez kunyenyekea mtu au...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

    Wanauwe uwa hawakubali hata iweje me wangu alikuwa anagoma na panic juu nikamuacha siku moja kajichanganya kwa mke wa mtu wakafumania kapewa kipondo Cha mbwa mwizi mpaka wafike polic yupo chakari hajielew binafsi nilitaman wangekata ata pumbu tuu maan tunawatoto 3 ila hajari Wala nn
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wakipata kanafasi kidogo wanakuwa wakuda?

    Walimu sijui wamewakosea nn watanzania
Back
Top Bottom