Kwakweli masomo yote ya Science huwezi kusoma kama masomo ya Arts lazima uelekezwe/Ufundishwe na Mwalimu.
Vinginevyo utatumia muda mwingi sana kusoma na kujifunza, miaka miwili haitatosha...
Kwa technolijia inavyokua unaweza kujifunza kwa njia ya mtanda, lakini lazima kuwe na interaction ya...
Mkuu tuwasiliane Huyo anatakiwa arudie mtihani wa F4... Apate basic za science Physics, Chemistry, Biology, Geography na Mathematics... Kituo chetu kipo Kivule Jimbo la Ukonga
MAZINGIRA MAZURI YA MTOTO KUJISOMEA NYUMBANI
1. Kuwe na chumba maalumu chenya meza na kiti au sehemu maalum isiyokuwa na usumbufu kwa ajili ya wanafunzi au Mwanafunzi kujisomea akiwa nyumbani.
2. Kuwe na mwanga wa kutosha wa jua kwa mchana au tumia taa zenye mwanga mweupe, energy...
Ili kuongeza Ufaulu wa Mwanao kwenye Somo la Hisabati (Mathematics) kwa aliyeko shule za Msingi fanya mambo yafuatayo:
1. Hakikisha unamsimamia vizuri mtoto wako afahamu kwa kuzishika kichwani Table zote kuanzia Table namba 2-12. Kwa mwanafunzi wa darasa la 3 hadi 4 table namba 2-6, kwa...
Wanafunzi wengi wa Primarily na Secondary wamekuwa hawafanyi vizuri katika somo la Hisabati kutokana na sababu zifuatazo.
1. Wanafunzi wengi hawajui misingi ya Hisabati kama Kujumlisha, Kutoa, Kuzidisha na Kugawanya. Maswali mengi ya hesabu huwa yanaishia na matendo haya manne.
2. Wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.