hivi ndugu yangu we ni rc gani unayeshabikia swala la udini..hivi unasahau taifa linajengwa kwa misingi ya usawa bila kujali udini wala ukabila ifike mahala usijitie upofu juu ya hili..na ni kosa hata mbele za mungu kushabikia hili swala wewe ukisema ww ni rc na utamchagua lowassa bila kukemea...
unachosema ni sawa kila mtu na dini yake lakini its bad kutumia mwamvuli wa dini kusaka madaraka...halafu mbaya zaidi amesema..nyerere na mkapa wote walikua wakatoliki na toka nchi iumbwe haijawahi pata mlutheri..ni heri asingetamka haya angeomba tu waumini wake wamweke kwenye maombi..me napenda...
ni kweli kabisa na ushaidi wa video upo...udini sio kitu kizuri hivi dini nyingine zitamfikiriaje...ni dhambi kubwa kwa mheshimiwa lowassa aungame kwa mungu
ni kweli alisema hvyo ni video ipo ni ushahidi tosha...wati wanaosema lowassa ni chaguo la Mungu wasije rudia tena ni dhambi kumsingizia Mungu sababu ya kumpigia mtu kampeni..ni vbaya kulitaja nina la Mungu ukishuhudia uongo fanyeni njia nyingne za kampeni ila sio kumsingizia Mungu
Lowassa hawezi kuleta mabasiliko yoyote zaidi ya kuendelea kula na kubinafsiaha mali za umma ila watatanzania waliojawa ushabiki na mapenzi leo wanahamua kuiharibu nchi yao kwa mikono yao wenyeye....kwa kujidai hawautambui ukweli ndugu zangu tusifanye utani kwenye uchaguzi wa nchi hatutakua na...
Yule lowassa kimwili ukawa ila kiroho bado ni ccm...ccm ipo damuni tu!...kuiangusha ccm..na kumuacha lowassa awe raisi ni sawa kutwanga maji kwenye kinu😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.