Recent content by ipogolo

  1. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Wanaoharibu miundombinu yetu ya barabara ni viongozi wetu, tazama hii!

    Sasa kuna huu uzibaji wa viraka vya barabarani. Upigaji mkubwa sana wa fedha za nchi. Barabara kutoka Tabata shule uelekee Kinyerezi.
  2. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

    Ndiyo maana hakudumu. Mfumo ukasalia
  3. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Hizi ni tabia za kukosa ustaarabu na kishenzi (uncultured) kwa sisi madereva tukiwa barabarani, tubadilike

    Madaladala ya Papafololo ya Mburahati Posta na daladala za Nangaboy Segerea Mnazi mmoja. Nadhani hizi ni za vigogo fulani. Mungu yupo
  4. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Hizi ni tabia za kukosa ustaarabu na kishenzi (uncultured) kwa sisi madereva tukiwa barabarani, tubadilike

    Na wewe kwa nini ulazimishe. Ni ushenzi na ujuha.
  5. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

    Jimbo la Morogoro miaka hiyooo. Soma history ya Uhuru wa Tanganyika.
  6. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

    Registration yake ni S na sio P( Private)
  7. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    Wawazuie pia kutembea bila kuvaa nguo za ndani
  8. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Rais anatembea na kiti chake kokote anakoenda?

    Umeangalia rangi nyekundu.
  9. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alivyomkaribisha mtoto wa miaka 8 kukalia kiti cha Rais

    Mgawa talanta ni Mungu pekee.
  10. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

    Hiyo nguo kanunuliwa na kupewa avae
  11. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

    Mwenyezi Mungu pekee ndiye mlinzi. Kwani Nyerere alikumbatiwa na nani? Mkapa je? Magufuli? Mtumainie Mungu. Yule ni Malaika tu
  12. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Katika Ukristo, kitendo cha msamaha ni cha lazima, si hiari!

    Yametokea. Kakuita ukapate adhabu ya dunia
  13. ipogolo

    JamiiForums Tanzania Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji

    One Two. Microphone Test. Alisema yametokea.
Back
Top Bottom