Wanaohamia chauma ni wale waliowasaliti wananchi nakujikumbatisha kwa CCM. Ahadi ni viti maalaum(watapewa majimbo). Hii ni matusi kwa wananchi wanaotaka uchaguzi huru na wa haki
This man who has defied death in a miraculous way can not be judged by the likes of you and most of us. The fact that you have audacity to talk about his behaviour knowing what he has been through is lucid of an evil 😈 society we are living in. Chama la machawa
Vijana walioshiriki kongamano la ccm walilipwa. Vijana wanaozuiwa kwenda Mbeya kwenye kongamano la Chadema wamejikipia wenyewe gharama za kufika huko...hapo ndio shida inapoanzia kwa watawala
Unatia petrol kwenye mafuta kea kutumia lugha ya kukera. Ilichukua watu na.maneno ya aina hii kwa walio wengi kujenga hasira kali iliyosababisha mauaji ya kimbari
Ni dharau kubwa kwa wananchi wenzako kusema chama chenhe ufuasi nchi nzima kuwa hakina sera. Mawazo yanaina yako ambayo yako kwa wenye mamlaka yatapelekea kutokea kwa machafuko nchini. (Wananchi kujitetea )
Kinachotokea ni Sawa na Kuwapa wananchi chanjo ya kupambana na polisi. Ni suala la muda tu kwa wananchi kuanza kupambana na polisi. Itakpotokea polisi watavikimbia vituo na kutupa uniform zao.. Rejea hadithi ya sativa.
Sijaelewa busara ya kuondoa majadiliano ya Muungano au mambo muhimu ya maisha ya wananchi kisiasa kutoka katika mijadala ya vyama. Huu Muungano unamatatizo makubwa kwasababu sababu za uwepo wake zimekosa nguvu ya hoja kwa sasa. Kuutibu lazima kujua chanzo na asili ya tatizo. Kuung',ang,ania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.