Kodisha chumba kwa gharama ndogo, fuga kuku 300 wa nyama, Gharama ya kununua na kumlisha mmoja hadi kufikia kuuza maximum ni Tsh 3,800/= kwa wiki 5, Bei ya kumuuza ni zaidi ya Tsh 6,000 . ukipata soko la Hotelini ni Tsh 7500 kwa kilo , kwa kawaaida kuku wa wiki 5 huwa na kilo 1.5 kuendelea, kw...