Recent content by Investdodoma

  1. Investdodoma

    Ufugaji wa nyuki kwenye banda

    Unaweza kufuga na pia changamoto za banda nyingine ni kutengeneza makundi au koloni za nyuki. Lakini faida zake ni za wazi kama; (1)utunzaji wa mizinga kwa muda mrefu (2)uvunaji wa mazao nyuki ni rahisi (3)ugawaji makundi yakikomaa ni rahisi (4)ukaguzi wa mizinga na ufuatiliaji ni rahisi.
  2. Investdodoma

    Fursa kwa wakazi wa Dar Fursa ya ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko

    Fursa kwa wakazi wa Dar es salaam na Habari ndugu,napenda kuwapa taarifa kuwa kuna fursa ya uanzishaji na ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko Dar es salaam. Maeneo yanagaiwa kwa walio tayari kwa ufugaji na pia kwa maelezo zaidi unaweza nitafuta kwa 0762842787 kupata taarifa zinazohusiana...
  3. Investdodoma

    Mbowe akishinda hii kesi jamhuri msiwe mnapeleka kesi mahakamani kabisa

    Napendaga saana ninapoona ubongo unafanya kazi kwa wepesi kaka,thinking and reasoning itafanya tuijenge nchi njema walau kuanza na familia moja kwa nyingine
  4. Investdodoma

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Habarini wakuu, mimi nina uzoefu mkubwa kwenye biashara ya vivutio asilia na vitu vya kuongeza ili kupata wateja,kwa anaehitaji kuinvest Dodoma na yuko serious anicheki kwa 0762842787.unawekeza kwa gharama ndogo na kupata return within muda mfupi.
  5. Investdodoma

    Fursa ya ufugaji wa ng'ombe wa asili kwa ajili ya nyama na maziwa kwa maeneo yaliyokaribu na soko

    Karibuni kwa ujenzi bora wa mabanda ya bei rahisi Pia kupatia project nzima kuhusu ufugaji kwa gharama nafuu na faida ya kutosha Kwa waliotayari nitafute via +255620764565
Back
Top Bottom