Naomba kufahamu kama kuna mtu aliyeweza ku upgrade to gold level kwenye Blockchain exchange jamani.
Nimepata challenge kwenye kuwa verified Kwa kutumia government issued ID (nilitumia voter's ID).
Kama kuna aliyeweza kutumia passport au driving license pia naomba mwongozo, hii inanikwamisha...
Habari wanajamii, naomba kufahamu kama kuna mtu yeyote ambaye amefanikiwa kuunganisha Kadi yake ya bank na PayPal account na kuweza kupokea fedha kutoka nje ya Tanzania. Msaada wenu ni wa muhimu sana kwangu.
Mimi bwana kuna mwana JF kaniambia kuwa eti hiyo imewezekana kupokea, kwamba BOT wameruhusu hilo. Ila sasa nikiuliza wengine wananiambia kuwa haiwezekani, hapo ndio kuna shida kidogo, na Mimi nataka niende bank ili nithibitishe hilo maana lina doubts kidogo!
Reading this in 2020! So legit! Je
umeshajaribu kutransfer funds zako kuingia TZ kupitia PayPal mwaka huu? Nahisi unaweza kunipa clarification maana kwangu nakwama kidogo na kuna mtu humu JF amedai kuwa inawezekana tena kupitia crdb! Na je, hapa TZ drop shipping clients unawapataje? Au kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.