Recent content by introvert70

  1. introvert70

    Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    Mbona mie siwezi jamani
  2. introvert70

    Natafuta wa kunipoza machungu niliyonayo

    Jamani asanten kwa pm nyingi sana,usaili unaendelea kwa apps zilizotumwa...asanten ata kwa kuntia moyo kwa wale waliofanya hivyo.nipunguze maswali..mimi napatikana dar sitak mtu wa nje wa apa sabab distance hua inacost sana mahusiano mengi.
  3. introvert70

    Natafuta wa kunipoza machungu niliyonayo

    Jamani wana JF, Mimi ni mara yangu ya kwanza kuleta mchango humu ndani kutokanna na upya wangu katika majukwaa haya. Ni mwanamke wa miaka 28. Ni mwezi wa sita sasa sina uhusiano kutokana na uhusiano niliodumu nao miaka mi nne kutoweka ni swala lililoniletea msongo sana wa mawazo sababu sikua...
  4. introvert70

    Fahamu vitu ambavyo ‘Sex Dolls’ wanaweza kuvifanya

    Tgo yanatoa ndio c unaliset mkao utakao wewe wamesema[emoji23]
Back
Top Bottom