Kama Kingunge Ngombale Mwiru amekosa, Na kwa umri wake Sishangai, lakini CCM walitakiwa wamtumie ile kamati ya maadili iliyomkata Lowasa iongee nae sio kina Nape na Sixtus Mapunda. Hawa UVCCM hawana nidhamu. Mh. Mkapa, Mh. Mangula, Mh. Mwinyi nk wangetumia Uzee wao kuongea na huyu Mzee...
Kwani Kusaga hajatangaza Nia hata ya Udiwani kama Manji? Ngoja akikatwa atawaachia MA Profesional wa habari wafanye kazi zao hapa Clouds TV Ki Professional bila kuwaingilia.
Kwani nyie ni nani mnaoratibu huu mdahalo? Kama ni wanaharakati kwanini StarTV tu musishirikishe TV zingine kama ITV na wananchi vijijini waone!? Kama nyie ni StarTV poa ila haijaenea haswa kusini na ina technical problem wkt mwingine kama sauti nk. Please take ASAP.
Hata kama alisema Serikali 2 au 1, Politics is not static but dynamic. Mbona tulihubiri sana Ujamaa na uko wapi sasa na hayo mabilion yanayobebwa na viroba!? The question is who is paying Polepole?
CCM itakosa baraka za Wazee kwa kuwaachia vijana kuwadhalilisha Wazee na kuwafumbia macho na wengine kuzawadiwa madaraka. Kumbuka ya Nape dhidi ya Lowasa, Makonda dhidi ya Lowasa, Sofia Simba dhidi ya Malecela na Mke wake na hata Reginald Mengi na sasa UVCCM kina Sixtus Mapunda dhidi ya Mzee...
UVCCM msimchonganishe Bashe na El. Bashe hawezi kuongea mambo kama hayo, sababu tu CCM hawakumkata. Bashe ni mtaji wa wananchi wa Nzega si CCM. Huko yuko kama mtoto wa nje. 2010 mlimkata sasa mmeona kuna madhara makubwa mkimkata ndio mnaanza kumBlack mail. Bashe kaa huko ila.....
Huyu anajibu waraka uliotolewa na UVCCM PWANI kwamba kamwe RAIS HATATOKA KASKAZINI. Hawa vijana (kina Ridhiwani) walitumwa maana hii ni kauli ya Ubaguzi tulitegemea CCM Taifa hususan MwenyeKiti Taifa Mh. J. kikwete angekeemea lakini haikuwa hivyo kwahiyo walitumwa. Kemea CCM kwa Ubaguzi dhidi ya...
Nyerere alivyosema CCM si Baba yangu wala Mama yangu, Mapunda angekewepo angemfukuza kwenye Chama. Hawa vijana wa mtandao Dotcom hawana adabu. Kingunge, Wazee wa Tanu na waasisi wa CCM waliobaki mnamfukuza!? Nasubiri nimsikie JK atasema nini. UVCCM mnavuka mipaka.
Hiyo kampuni ya kuendesha hizo ikarus kumbakumba iko wapi? Huu ni mradi, Tender hazijatangazwa, wafanyakazi hawajaajiriwa, hata barabara zenyewe hazijaisha. Hizi ni Kampeni tu Mwaka huu ni UKAWA tu HADANGANYWI MTU HAPA.
Karibu Kamanda UKAWA, tulijua tu utafanyiwa umafia ndani ya CCM. Chukua form haraka ugombee kwa niaba ya CUF ndani ya UKAWA jimbo tulichukue. Washirikishe Baba na Mama ikiwezekana nao wahame, kubwa Jimbo sasa uhubiri ni UKAWA si CCM na Rais ajaye ni Lowasa. OK Omary?
Ndio sababu iliyomfanya Mheshimiwa Mwakyembe kuhamishwa Wizara hiyo. Angekewepo dili lingetibuka. Mh. Sitta ashalishwa shubiri yuko sambamba na MAFISADI. Mwakyembe aliahamishwa na wauza unga na sasa wachina wamepata advantage na kupitisha mambo yao. Jamani CCM Tembo wataisha!?
Ile kauli iliyotolewa na UVCCM Pwani kama Rais kamwe hatatoka Kaskazini ni ya kibaguzi wa hali ya juu na Viongozi wa CCM waliokemea ni Sumaye na ni Mstaafu walioko madarakani akiwemo Mkiti wa Taifa wa CCM walikuwa kimya kuashiria UVCCM Pwani wako sahihi. Karibu Kamanda Tuvae gwanda tukomboe...
Baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 1995 wkt Mrema yuko juu kama Lowasa sasa, kulitokea fagia fagia Serikalini na CCM wapambe wote wa Mrema, LEO inaanza mapema fagia fagia ya watu wa Lowasa. Diana Chilolo ni mtu wa karibu sana na EL, ni Kweli Mwigulu alifanya ubabe sana Iramba, dharau kubwa mnamwita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.