Recent content by Intepreneur

  1. I

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    Kama ni wewe mama Malecela, ila bahati nzuri wewe sie!
  2. I

    Tufunge mjadala wa Ben Rabiu Saanane Kistaarabu

    N Umeongea vyema na haki mkuu!
  3. I

    Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

    Yani Watanzania kwa kukurupuka ni namba moja, ivi Mpanju ni NW kweli? Halafu upo humu JF unachangia nn rudini shule siasa zipo tu haujui kitu piga kimya. Shubamittttt!
  4. I

    Ni John Okelo au Amri Abeid: mapinduzi

    Hakuna Amri Abeid Karume kwenye Mapinduzi ya Zanzibar ni Aman Abeid Karume!
  5. I

    Wazanzibari gogo limeshakatika kinachosubiriwa ni kuanguka tuu

    Waunguja tuna mpango wa kuitisha kura ya maoni, tuulizane hawa wapemba kama bado tunawahitaji Unguja au waende zao kwao wakaanzishe dola yao kule matangatuwani maana haiwezekani mtu uombe lifti kwenye gari halafu utake kupiga na honi, shida ya Zanzibar ni hawa wageni kutoka Pemba wanaojitia...
  6. I

    Bora hata Shukuru Kawambwa, Prof Ndalichako anaharibu elimu yetu

    Ni kweli kabisa, na hata upande wa pili Zanzibar umeanza mwaka huu hiyo ndio sera ya elimu kwa sasa
  7. I

    Wazanzibari gogo limeshakatika kinachosubiriwa ni kuanguka tuu

    Hiyo ni mipasho ya kwenye kanga ukweli ndio huo Paskali kauandika nami kwa uhuru wangu nikampongeza, ila elewa Zanzibar haitakuja kutawaliwa na muarabu tena hilo kaa ujue na usahau. Tupo kwenye maandalizi ya sherehe za mapinduzi matukufu january 12, 1964.
  8. I

    Wazanzibari gogo limeshakatika kinachosubiriwa ni kuanguka tuu

    Paskali hakika leo umeifanya siku yangu iwe njema, mwenye macho na masikio na asikie
  9. I

    Hivi watanzania nani katuloga?? Eti mara hii tumeyasahau haya!!

    Hahahahahahaha! Nyangomboli, acha izo mm nimecheka hapa ulipouliza umechanganyikiwa na ada za january bro? yaani inaweza kuwa kweli maana ukicheki tarehe zinakaribia na account inaread vibaya lazima mtu povu limtoke namna hii.
  10. I

    Ndege aina ya Dreamliner ina thamani ya bilioni 500, pesa hii ingetatua nusu ya matatizo ya maji

    Hahaahahahaha dada taratibu kidogo kidogo wataelewa!
Back
Top Bottom