Recent content by instinct desire

  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Eti nyie jamaa wa CHADEMA Kuna haja gani ya kufuga manywele kama Tundu Lissu au kwenu ndo Demokrasia?

    Wakuu hebu chunguzeni background za maisha ya hawa waliofuga manywele kama Lissu mtagundua kama hawajawahi kuvuta Bangi basi hawana elimu za maana au ndiyo walaji wa kuu wa hela za donation wakiongozwa na deputy kiti Hivi kama mnafuga manywele hivyo kama Tundu Lissu mtaweza kuweka mezani hoja...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha wafuasi wa Chadema kumtukana Lema na Lissu kisa kuhani msiba ni ishara ya Chadema kuwa ni kikundi cha wahuni kilichokosa viongozi

    Miaka yote nimekuwa nikiwaasa viongozi wa CHADEMA kukemea matusi ndani ya chama chao hawakunielewa ona Sasa Leo wamegeukana wanatukanana wenyewe kwa wenyewe. Wameenda mbali zaidi mpaka kuanza kudai Hela za ToneTone ambazo zilishaliwa Kama ni kosa hata kuhani misiba ya binadamu wenzetu sasa...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hawezi kuwa mtiifu kwa Mwanaume Bwege, asiyejielewa.

    Kama mwanamke hakutii achana naye oa unayemumudu.
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Bila kuwachafua wenzake kwa shutuma za uongo Lissu asingeshinda uwenyekiti

    Lissu siyo kiongozi ni tapeli
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Niondolee picha za vibaka.. Siyo wewe ndo mpumbavu
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
Back
Top Bottom