Recent content by instict

  1. I

    JamiiForums Tanzania Friji, Sofa na fanicha za ndani zinauzwa sawa na bure

    Mkuu mie frij ikikosa mteja ni pm nina 500,000
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nauza Dell Laptop

    Wewe haupo serious, nimekwambia wekapicha unasema unatumia nokia tochi, sasa hyo nokia tochi unawezaje kupata net yakutuma tangazo humu?? Kama unashida tafuta cm au tumia hyo pc unayoiuza kuweka pic ili watu tuliopo nje ya dar pia tujiridhishe.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nauza Dell Laptop

    Gahana, unapostije huku na nokia toch? Samahani lakin, wengine hatupo dar natunahitaji.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nauza Dell Laptop

    Picha plz na size ya screen
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop HP Pro-book

    Weka picha basi
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nauza line ya Tigopesa, Mpesa, Airtel Money na Selcom Machine kwa laki 9

    Unapatikana wapi?? Hauzi kimoja kimoja??
  7. I

    JamiiForums Tanzania Line za Tigo pesa, Mpesa na Airtel money zinahitajika

    Nahitaji line za uwakala wa tigopesa, mpesa na Airtel money, kwa yeyote mwenyenazo au anamfahamu mwenye nazo na anauza, naomba ani pm. Napatikana mkoa wa morogoro.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa logo za kidini

    Thanks brother
  9. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa logo za kidini

    Ndugu wana jamii, nahitaji logo ya taasisi ya kidini, mimi napatikana Morogoro Mwenye taarifa au kuhusika na kudizaini naomba anitumie namba yake.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

    Nashukuru Mh. Lema, sikuuona waraka wako wakwanza ila hata mimi nabaadhi ya wenzangu awali kabisa tuliwah kujiuliza y chama tawala kinatakakuleta hofu ya udini? Tunashukuru kwa mawazo yako, cha msingi hapa ni kuweka chama pembeni tujali taifa letu tulinde amani kisha tuendelee na siasa. Wana jf...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    Cc humu ndani tunatakiwa tujenge hoja nakukoment mambo yatakayosaidia au kutoa ufumbuzi wa matatzo yanayokabili taifa letu kwasasa, haitusaidii kutukanana au kubaguana. Ninachoamini mimi waislam kwa wakristo sote twahitaji aman.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Salamu Great Thinkers

    Hellow mambers.... Najua nimechelewa ila naamini cjachelewa sana, Muungwana hubisha hodi na kuomba mwongozo, naomba kuwa miongoni mwenu kwenye kuendeleza mema yahumu ndani.
Back
Top Bottom