Recent content by Installation

  1. Installation

    JamiiForums Tanzania Athari za kumbeba mtoto mdogo kwenye bodaboda

    Kila mara nimekuwa nikikutana na bodaboda wakiwa wamebeba watoto wadogo Kati ya miaka 4-6 hivi wakitoka nyumbani kwenda shuleni na wakati wa kurudi pia. Jambo lililonifanya nikfikirie Sana ni namna bodaboda wanavyowabeba watoto hawa wana wapakiza kwenye Tenki la mafuta ambapo kwangu mimi ni...
  2. Installation

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Private Media za Arusha zinatoza Wanafunzi fedha ili waruhusiwe kufanya field, ni sawa?

    Acha kuihalisia wala hata sio Tu Arusha Bali ni sehemu zote wanafunzi wa Journalism na Mass Communication wanapata shida kinoma bila kutoa hiyo hela haupewi nafasi ya kujifunza hapo. Vijana wengi sana ninaowafahamu walitoa hela kwenye media flani lakini pia wengine walishindwa na hawakupokelewa pia
  3. Installation

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

    Mdau hapo umenena vyema sana na ninakusapoti kwa 100% ila mbali na hapo utamuona kijana wetu ni kama kazingua tu
Back
Top Bottom