Recent content by inside-man

  1. I

    JamiiForums Tanzania The Letter by CHADEMA UK and Its Impact!

    Nakubaliana na wewe 100%
  2. I

    JamiiForums Tanzania The Letter by CHADEMA UK and Its Impact!

    'You can fool some of the people some times but you can not fool all the people all the time'. About two weeks ago CHADEMA UK drafted and distributed letters to various national and international bodies and institutions objectively to appeal to the international community about the political...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Waraka wa CHADEMA-UK kwa Rais, Mabalozi, Taasisi za Haki za Binadamu

    Nasikia wameambatanisha picha za watoto na nviambatanisho mbali mbali
  4. I

    JamiiForums Tanzania Waraka wa CHADEMA-UK kwa Rais, Mabalozi, Taasisi za Haki za Binadamu

    Wengi walikuwa wamekuwa wakiuliza hivi kuna faida gani vyama vya kisiasa kufungua matawi nje? Sasa jibu limepatikana hapa. Kazeni buti muisaidie CHADEMA kwa kuuhabarisha ulimwengu kuhusu uharamia huu wa serikali na vyombo vyake. Nawapongeza sana kwa kazi nzuri.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Waraka wa CHADEMA-UK kwa Rais, Mabalozi, Taasisi za Haki za Binadamu

    Watu wanapigania nchi yao. By the way wewe umesharuhusiwa kutoka hospitali?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Waraka wa CHADEMA-UK kwa Rais, Mabalozi, Taasisi za Haki za Binadamu

    Sasa naona magamba wameshikwa pabaya. Viongozi kwenda kujichekesha chekesha wakidanganya eti hii nchi ina amani hii ndiyo dawa yao. Kazi nzuri makamanda UK
  7. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Huu Ni Wakati Wa Ku-Attack Siyo Kuji-Defend; CCM Ndiyo Walichokitaka.

    Maelezo haya yametulia na yamenigusa
  8. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Huu Ni Wakati Wa Ku-Attack Siyo Kuji-Defend; CCM Ndiyo Walichokitaka.

    Binafsi nimemkubali mtoa mada hii. Hizi ni mada ambazo vilaga wengi wa CCM humu jamvini hutawaona wakijibu. Well done!
  9. I

    JamiiForums Tanzania Muhongo aliwalipua wana Mtwara, awalipua tena watanzania UK. Ubalozi waficha video!!!!

    Nadahani video ikitolewa itajieleza vizuri. Sitaki majungu au uongo. Video itolewe muoione.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Muhongo aliwalipua wana Mtwara, awalipua tena watanzania UK. Ubalozi waficha video!!!!

    Tarehe 26/02/2013 waziri wa nishati na madini Prof Dk Sospeter Muhongo alikutana na watanzania waishio UK. Watanzania wengi kutoka sekta mbalimbali walihudhuria. Japokuwa mahudhurio yalikuwa mazuri, matokeo ya mkutano kwa ujumla yalikuwa ni ya kusikitisha sana. Kwa wale waliohudhuria...
Back
Top Bottom