Waraka wa CHADEMA-UK kwa Rais, Mabalozi, Taasisi za Haki za Binadamu

Safi sana na ikiwezekana apelekewe Rais Obama afire ziara ya kwa Viongozi wa kigaidi TZ
 
Wengi walikuwa wamekuwa wakiuliza hivi kuna faida gani vyama vya kisiasa kufungua matawi nje? Sasa jibu limepatikana hapa. Kazeni buti muisaidie CHADEMA kwa kuuhabarisha ulimwengu kuhusu uharamia huu wa serikali na vyombo vyake. Nawapongeza sana kwa kazi nzuri.
 
Hongereni vijana kwa kazi nzuri hii message ambayo CCM waliituma jumamosi kwa waTZ imefika. CCM wangekuwa wanaume wangemtuma Nape aje na Mchemba kuliko kutumia Polisi kufanya ugaidi.

Nashindwa kuelewa polisi - hivi ni binadamu na watanzania wenzetu kweli au wanatengeneza maroboti toka china na kuyavisha sare za polisi? Yaani m2 mwenye akili timamu unaweza kutumiwa kufanya mambo ya kuhujumu maisha ya mwenzako kweli? kwa ujira upi?
 
Moja ya mambo niliyokuwa najiuliza sana ni kwa nini viongozi wa cdm taifa hawafikishi ujumbe huu wa uonevu kwa taasisi za kimataifa. leo nimefurahi kuona angalau outside world inajua kinachoendelea Tanzania kwa njia hii ya CDM UK.
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.

Pole sana maana uwezo wako wakufiri umegota, huwezi kufikiri zaidi na una copy na kupaste upupuu huu kwenye maada zote za leo!
 
Naona matamko bila muongozo yameanza kabla hata ya tamko la makao makuu?
Hii ndio tatizo la kuwa na akili nyingi zaidi ya kichwa

Haya wahi kupiga boksi kabla hujachelewa !

Kama hom kwako watoto hawaruhusiwi kuongea / Kukemea kabla ya baba juu ya uovu unofanywa na jirani yako usizani ni wote wanaishi kwa mtindo huo.
 
Back
Top Bottom