Recent content by Innovationtz

  1. Innovationtz

    MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀.

    Mungu alimpa Adamu uhuru wa kuchagua kujua mema tu ama pamoja na mabaya lakini amlimshauri achague mema tu. Lakini Eva alimshawishi Adam ale tunda. Hapo hakuna aliyekosea. Swali: we umejuaje yule nyoka alikuwa shetani???
  2. Innovationtz

    Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

    Hujaulizwa wewe unafanyaga nini. Watz kinachotuponzani kujitetea na umimi kama unaouonyesha waziwazi hapa
  3. Innovationtz

    PostGE2025 Hatuwezi sema Hali ni shwari wakati watu tumejifungia ndani. Ni muda kutafuta mbinu nyingine kabambe kwa suluhu ya taifa na watu wote

    Chagua upande, maana unaongea kana kwamba upo upande wa wananchi lakini unapoteza muda mwingi kuipa mbinu polisi.
  4. Innovationtz

    sababu ya kifo cha Yesu haikuwa madai ya uungu, bali tuhuma za kisiasa

    Yesu alikufa kwaajili ya wote, lakini Injili ni kwa Wanyenyekevu. Ukisikiliza habari za imani kisha ukaona vyote vinamake sense basi ujue unachotwa.
  5. Innovationtz

    Kifo cha Yesu: Hofu ya mfumo dhidi ya mtu huru

    Je suis désole, niseme tu huna akili.
  6. Innovationtz

    PostGE2025 Sugu: Poleni kwa mshtuko, mimi nipo salama. Yule kwenye clip sio mimi

    Ni kutafuta attention tu, Jonge hana madhara makubwa kiasi cha kutekwa
  7. Innovationtz

    PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

    Nilipoona amejitambulisha nikajua tu kinachofuata ni kusifu na kuabudu wauwaji
  8. Innovationtz

    Nimeishi na hali ya kutisha ya akili (kama si mtu halisi) tangu nikiwa na umri wa miaka 8 hadi sasa

    Ili hali hio itoweke mwamibi Kristo ukubali kuwa mwanafunzi wake. Amini dhambi zako zote zimesamehewa (past, present & future) kwakuwa umehesabiwa haki kwa Imani kisha upo huru kufanya lolote unalotaka na haitahesabiwa kuwa dhambi. La mwisho uache kusikiliza wahubiri feki wanakuhubiria dhambi...
Back
Top Bottom