Recent content by InnoDpsJose

  1. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta display ya Lenovo min(10.1)

    kuna jamaa yuko moro bila shaka atakuwa nazo, anaitwa doctor briz ngoja mtakuulizie then mta ku PM, kama mtasahau nicheck kwenye no 0715 546818 poa mkuu nakuchek
  2. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta display ya Lenovo min(10.1)

    Habarini wanaJF.Natafuta Display ya laptop Lenovo min(10.1).Nimetafuta kwa mafundi wengi nimekosa so kwa fundi au yeyote anayefahamu zinakopatikana aniPM au anitaarifu hapo chin..Ahsanteni.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ku-socialize kazini ni muhimu kwa afya

    Upo sahihi sana...na kwako pia
  4. I

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waache kutumia haya maneno ya kike yanakera

    Hilo neno "Jamani" ni la kawaida but inategemea na unavyolitumia
  5. I

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Naombeni kujua kiundani zaidi kuhusu hiyo 22,000/=inauokatwa na CRDB kwa kila online transaction, ...alaf pia katika kumalizia kulink CRDB na PayPal wamenambia nisubir code kupitia statement, naombeni kujua je ntazipata vipi? Ingia kwenye website ya CRDB contact centre then watumia mail...
Back
Top Bottom