karibu Mara Mtanzania mwenzangu ujionee maajabu ambayo hujawahi kuyaona mikoa mingine,aliyesema "mwisho wa ubaya ni aibu" mzaliwa wa hapa Mara. je,unamjua?
naombeni msaada ni takribani miezi miwili sasa kuna akaunti niliyokuwa naitumia mwanzo na nilijiunga lakini sikufanikiwa ila nikaja nikafungua akaunti nyingine sasa naingiza taarifa za kujisajili wanasema your (check no yangu sasa)has already taken kila nikiingiza taarifa,,,sasa naomba msaada wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.