Recent content by Innocent boy

  1. I

    JamiiForums Tanzania bwana heslb huyooooo

    mkopo ni serious issue.taarifa zisizokuwa rasmi tuziache na tusitake umaarufu kirahisi,mambo yakiwa sawa tutajua na tulieni msiwe na pressure kwani mkizipata mtazila zitaisha tu ndugu zangu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kuna pre-entry test UDSM?

    Kikubwa nione majina maana nasikia nipo ila nataka kucomfirm
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kuna pre-entry test UDSM?

    Tafadhali tuwekeeni majina ya waliochaguliwa udsm,huku vijijini tulipo tunatumia simu na wala sio compyuta hivyo bila msaada wenu hatuwezi kuijua hatima yetu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kuna pre-entry test UDSM?

    Nisaidie waliochaguliwa mwaka huu udsm mi natumia simu kaka
  5. I

    JamiiForums Tanzania List of Students Selected to Join undergraduate Programmes 2012-2013 UDOM

    Jamani wenye simu tusaidieni
  6. I

    JamiiForums Tanzania List of Students Selected to Join undergraduate Programmes 2012-2013 UDOM

    Tunaotumia simu inatuuma kusikia yametoka ila simu zinashindwa tafadhali wakuu yawekeni tuyaone
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wasiochaguliwa tcu

    Dah asante yesu maana simo
  8. I

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni mfitini na asiye na akili timamu - Muhammad Chomboh

    Wanasiasa wamalize tofauti zao na sio kukashifiana
Back
Top Bottom