Recent content by Innay

  1. Innay

    JamiiForums Tanzania Tanga: RAS aagiza Walimu waendelee kuhudhuria kazini licha ya agizo la Serikali kuzuia mikusanyiko

    Huyo RAS kwanza niseme ni incompitent.. Au kapotoshwa au hajui majukumu yake. Vyeo vya kupeana kindugu. Anataka kutuambia kwamba Mkoa wa Tanga Walimu bado hawajafanya analysis ya matokeo ya 2019!!! Jamani walimu wa Tanga is this true.!? Watu analysis ilishafanyika na utendaji wake upo in...
  2. Innay

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

    Mipaka haijafungwa.... Wageni wanaingia na kutoka.. Kuna mambo ya ajabu sana nchi hii...
  3. Innay

    JamiiForums Tanzania Ofisini kwetu wapo kwenye vikao vya mwisho kuamua likizo ya lazima hali si nzuri

    Duh..! Picha linaanza sasa
  4. Innay

    JamiiForums Tanzania Mbunge amtaka Waziri Mkuu kumchukulia hatua Waziri aliyekataa kukaa Karantini pamoja na kuonesha viashiria vya Corona

    Je! Hao watu wawili walioambukizwa na huyo Waziri, wapo kwenye hesabu!???
  5. Innay

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu na Faustine Ndugulile mmeamua kuua wananchi kwa maamuzi ya kukurupuka?

    Ngoja tuendelee subirii. Mungu asaidie tu.
  6. Innay

    JamiiForums Tanzania Wazurulaji wanaolengwa kukamatwa na RC Makonda ni akina nani?

    Kumekucha. Ngoja tuone
  7. Innay

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

    Kwanini alilia juzi pale TBC. !?Alishakiona kifo??? Very sad
  8. Innay

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

    Ohh noo.. Sad sad. Hakuwa hata na watoto.!?? RIP
  9. Innay

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Dah. Nimedondosha chozi..😭
  10. Innay

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Hongera. Upo kitengo gani!??
  11. Innay

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    🤣🤣🤣
Back
Top Bottom