Recent content by Inkubu

  1. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Uangalie muundo wa Tume Huru ya Uchaguzi halafu tafakari mwenyewe

    Hakuna Mwizi mwenyewe sura laini.
  2. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Uangalie muundo wa Tume Huru ya Uchaguzi halafu tafakari mwenyewe

    Huu ni zaidi ya Msiba.
  3. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Uangalie muundo wa Tume Huru ya Uchaguzi halafu tafakari mwenyewe

    Msiba Mkubwa kama Taifa.
  4. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    Mamlaka zimeshindwa kuhimili mawazo tofauti kwa hoja, njia waliyochagua ni kumwaga damu za Watanzania wenye mitazamo tofauti.
  5. Inkubu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

    Pumzika Father Nkwera, kwa imani na mafunzo uliyoamini hakika upo sehemu salama.
  6. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Uangalie muundo wa Tume Huru ya Uchaguzi halafu tafakari mwenyewe

    Hakuna Tume hapo.
  7. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

    Lini palifaa?
  8. Inkubu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

    Hizo nguvu zingetumika pale Kariakoo, na imani watu wengi wangepatikana wakiwa hai.
  9. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

    Vipi Intelijensia yao bado haijawabaini hawa jamaa na kuchukua hatua , au tumsubiri msemaji aje kuweka mzani sawa.
  10. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Kwa tukio la kujaribu kumteka Deo Tarimo tutaendelea kuwalaumu CHADEMA bure

    Spika wa Bunge aliukataa huu mjadala wa dharula pale Bungeni, Taifa linaangamia sasa ilipaswa kufikia sasa mtu mwenye dhamana awe ameachia ngazi hakuna aliye salama.
  11. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

    Unaielewa katiba ya nchi vizuri kuhusu haki ya kuandamana.
  12. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

    Serikali ya Samaki kipaumbele chake ni Chadema. Shughulikieni changamoto zinazowakabili wananchi.
  13. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

    Vipi Intelijensia yao haijawafahamu washukiwa wa mauaji na utekaji..?
  14. Inkubu

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya "Kifo ni Kifo tu" kutoka kwa Rais Samia imekaaje?

    Kwa kauli zile unajua nani ni washukiwa wakuu wa mauaji.
Back
Top Bottom