Recent content by Inkanyamba Son

  1. Inkanyamba Son

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu uzi nimekunywa chai nyingi kuliko chai nilizowahi kunywa Nyumbani na mgahawani😀😀😀😀😀😀
  2. Inkanyamba Son

    Matumizi ya Lugha ya Kiarabu kwenye kujifunza dini ya Kiislam ni utumwa wa hadharani

    Sasa Sahihi Muslim NI Quran? We jamaaa no mat@ko kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  3. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Sifanyi hizo kazi mkuu, Kwanini Uangushe? Karma inapaswa kuogopwa.....
  4. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    100% ndugu yangu.... Wazee wako kabla yako hata na babu yako walikuwa wana mbinu zao katika utafutaji, Hizo mbinu hurithiwa Sasa wewe Sasa hujui lolote ndio hapo unajikuta huna hili Wala lile!
  5. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Usiogope ndugu Ukiifuata Mizimu yako ww no Tajiri.... Amini kwamba tafuta Mtu akufungulie watakuonyesha Kila kitu mpk utakapo upata utajiri wako
  6. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Ndio nilikua na Mama yako mzazi ye alikuwa kitengo Cha kubumba majini mahaba
  7. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Kama wewe unavyotumikishwa na wanaume Wenzio huko kanisan.....
  8. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Basi sawa wagawie Ndugu zako kabla hatujakuzika😂😂😂
  9. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Wewe una utajiri Gani dadaangu ambao utaacha ukifa....
  10. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Sitaifanya kitapeli mkuu.... Nakuwa original haswaa Hii kitu ipo damuni ni nature
  11. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    😂😂😂😂😂 Nataka kuwa Pro kwenye fani aisee! Shahada haina Maana huku
  12. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Ungekuwa unajua kumakinika ungerudia kusoma..... Nipoteze ada miaka nane ya Kuwa jobless au ukiwa jobless unalipia ada? Maono haya yamekuwa yakija nikiwa nishamaliza skul! Jipange ukosoe Tena!
  13. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Kwani nimeomba kutolewa UGANGA? La hasha... Hi kitu ni TALANTA yangu siwezi kuimbia
  14. Inkanyamba Son

    Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Naikataa Vipi talanta niliyopewa na MUNGU wangu.... Hivi KIPAJI adhwimu Kama hiki kwenye familia yenu kipo?
Back
Top Bottom