Acha kudanganya umma wewe.....tangh lini hii nchi ilikuwa na viwanda 1500??? Kulikuwa na viwanda vya nguo kama mbeya textile, urafiki na kiwanda cha tyre cha Arusha na vyote kaviteteketeza na viwanda chipukizi kivao kaua.....hadi stick mnaagiza china......
BRN imeongeza ziro zinazopelekwa...
Waliohama wamejua ubaya wa sisiem...nasi tunawapokea kwa sababu wamejua makosa ya maamuzi yao ya kuwa sisiem.....kuhama chama sio vibaya na katiba inaruhusu ila unahama kutoka wapi kwenda wapi ndo tatizo.....mtu mwenye akili timamu hawezi hama cdm kwenda ccm ila kilaza kama ww utabaki uko...
Kama familia lazima wawe na DNA za kufanana na hao wote ni familia moja hawawezi wakatofautiana. Ni ngum dada kusema kaka anakomba mboga wakati nae anajua atasemwa ni kikojozi. Pole zao wanaojiita wasafi na kukaa ndani ya jalala la takataka na kutaka wasichafuke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.