Recent content by Infinite_Kiumeni

  1. Infinite_Kiumeni

    Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

    Labda JF ilitengenezwa kwa ajili hiyo
  2. Infinite_Kiumeni

    Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

    Yeah, sio kwa ajili ya wasio hitaji. Bali ni kwa ajili ya wenye uhitaji.
  3. Infinite_Kiumeni

    Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

    Kila la heri. Ni maisha yako!
  4. Infinite_Kiumeni

    Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

    Badili mindset yako, pia badili watu unaowaangalia sana. wao ndiyo wanafanya mtu uendelee na punyeto au uache angalia sana influence ya watu unaowasoma.
  5. Infinite_Kiumeni

    Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

    yeah mindset yako inakufaa wewe. Goodluck.
  6. Infinite_Kiumeni

    Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

    Kwa wenye uhitaji zaidi. Kama wewe huna uhitaji why triggered?
  7. Infinite_Kiumeni

    Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

    PUNYETO ni janga la vijana wengi na pengine hadi watu wakubwa kabisa. PUNYETO inaweza ikakutesa mwili, akili, roho na nafsi. Hata mimi nilikua huko, ila nimeweza kuacha na kuwa huru. Japo unaweza kujipa moyo kwa kuungana au kusoma post zingine za wapiga punyeto, Lakini, ukweli unabaki kwako...
  8. Infinite_Kiumeni

    Nimepiga punyeto kwa muda wa miaka 17 na nimeshindwa kuiacha kabisa

    Badilisha mindset yako na maisha yako yanabadilika.
  9. Infinite_Kiumeni

    Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

    PUNYETO ni janga la vijana wengi na pengine hadi watu wakubwa kabisa. PUNYETO inaweza ikakutesa mwili, akili, roho na nafsi. Hata mimi nilikua huko, ila nimeweza kuacha na kuwa huru. Japo unaweza kujipa moyo kwa kuungana au kusoma post zingine za wapiga punyeto, Lakini, ukweli unabaki kwako...
  10. Infinite_Kiumeni

  11. Infinite_Kiumeni

    SoC03 Njia za kuzuia mawazo hasi, na mawazo yanayokuumiza na yanayokunyima Amani ya Moyo

    Kama mawazo hasi, mawazo ya kujiua, mawazo ya kujihisi mpweke, mawazo ya kukataliwa au mawazo yoyote yanayokufanya ukose amani ya moyo basi ujumbe huu unakufaa sana, ujitahidi ufanye hivi. Kila mtu hupatwa na mawazo hasi kwa namna moja au nyingine katika muda tofauti. … ila kinachojalisha...
  12. Infinite_Kiumeni

    SoC03 Jinsi ya kupunguza/ kujiondolea stress haraka ili upate amani na furaha

    Na mimi huwa natumia hizi njia kama naona nna mawazo sana. Kwaiyo nawe zinaweza kukusaidia. Stress huanzia pale unapokubali kuendeshwa na mawazo yanayokujia. Bongo zetu ni mashine za mawazo, bila kujali ni mazuri au mabaya. Yenyewe inachapisha tu. Sasa pale ubongo unapochapisha mawazo mabaya...
Back
Top Bottom