Recent content by iNdorwa

  1. I

    JamiiForums Tanzania BBC: we had a ‘duty’ to make Rwandan genocide documentary

    Let us assume Kagame alimwaga damu. Habyarimana angemkuta Kagame kwenye andaki angemuimbia bed time stories? Msianzishe masumbi alafu muanze kulia ngumi za usoni. Habyarimana alimuua Rwigema rafiki yake wa utotoni wa Kagame. It was in a war situation. Now I hope u understand why he says "I dont...
  2. I

    JamiiForums Tanzania BBC: we had a ‘duty’ to make Rwandan genocide documentary

    Ukweli ni hivi. Kagame ana Maadui wengi wakiongozwa na Ufaransa ambao uliandaa na kushiriki kwenye Genocide ya watusi. Baada ya Kagame kuwafukuza Rwanda na DRC (karibu wafukuzwe Africa yote) walibadilisha strategy wakapanfa long term. Kwa miaka karibu 20 sasa wanatumia misinformation ili: 1...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Rwanda ranked 2nd in internet speed

    Sisi watanzania tuwe makini tusidanganywe na Nterahamwe waliojaa Jamii Forum. Kama Rwanda wamefanya vizuri why all the hate? Malawi wameigiza ile project ya Kagame ya One cow per household kupunguza umasikini. Hao nterahamwe wanaotudanganya wanaipinga eti Kagame anataka kuwageuza Wahutu kuwa...
Back
Top Bottom