Ndio kwangu mm ni bora kuliko kuhifadh hela mifuko ya pensheni.
Unauhakika wa kupata kiasi kikubwa cha hela baada ya miaka 20 au chini ya hapo {mbadala wa kikokotoo}
Kuhusu JF naijua sana maana toka 2010 nilikua napita humu.
Target yangu ni mikoa ya Tanga, mbeya, Iringa, Morogoro na Rukwa ila nimeona nikiweka wazo langu humu nitapata maeneo mengi zaid yanisaidie. Kuchagua
Ndio kwanza nina 26 nipo kazini mwaka wa pili huu malengo yangu ni ikifika 2022 niachane na huu utumwa wa kuajiriwa
So kua na ardhi kama hii itanisaidia sana kunisukuma kwenye mikakati yangu hii
Naweza kuishi mkuu
Katika target yangu mkoa wa Mbeya, Iringa na RUKWA ni maeneo ya kipaumbele
Iringa napapendea maana naeza wekeza kwenye kilimo cha miti
Utanisaidia sana ukinipa ABC za huko
Ahsante sana unazungumzia ardhi iliyopo ndani ya bonde la mtu rufiji?
Nilifika mpaka kibiti hadi nyamisati week mbili zilizopita
Kwakwel maeneo ni mazur mno
Ila wenyeji waliniambia changamoto kubwa kwa shukhur za kilimo ni wanyama waharibifu sijui kuna ukwel?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.