habari zenu..
naomba msaada kwa mtu anaejua mahali au website ambayo naweza pata scholarship bachelor in international relations...
naitaji msaada wenu...ASANTENI
salaam ndugu zangu wana jF...
kuna mdogo wangu kapata hivi katika matokeo ya form 4 mwaka 2012.....
bios C
kisw C
engl C
chem D
geog D
math D
civcs D
phys D
histry D
DIVISION 3 YA POINTI 25
anataka kusoma CBG kwenye shule ya GVNT...je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.