Recent content by Incognito

  1. I

    JamiiForums Tanzania David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?

    Sir R nafikiri atakuwa na mtoto mkubwa maana pale Itende alimpa mimba binti mmoja wa Kinyakyusa kama sikosei anaitwa Unosye.(kumbukumbu zangu zinanipeleka huko)
  2. I

    JamiiForums Tanzania David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?

    Akiwa Itende JKT alikuwa assistant PEO(political education officer) na alikuwa mnoko sana.
  3. I

    JamiiForums Tanzania David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?

    Kibanga,si ndio huyo huyo Cleopa David Msuya
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kingwangallah: Tunaomba Albaldir Uliyotuahidi

    naunga mkono hoja;maombi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Huyu mwenyekiti vipi?

    hivi wana jamvi naomba kujuzwa.ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wenyeviti wa bunge?huyu wa leo naona kama sanamu tu,sijamuelewa wala hata dalili ndogo tu za uongozi naona amezikosa!
  6. I

    JamiiForums Tanzania Tazama hii picha ya CCM kuhusu mkutano wa Jangwani kesho!

    Kwanini usafiri kwa wanafunzi wa UDSM pekee? Kwamba wanataka kuwanunua wanazuoni au wamechoka sana hawa?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kada Mashuhuri wa CCM Newala ajiunga CHADEMA

    huyu mkuu tutampata maana ni mwana mabadiliko mwenzetu!ni suala la wakati tu
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kada Mashuhuri wa CCM Newala ajiunga CHADEMA

    matokeo yake injini ni kunoki maana hakuna oil mpya inayowekwa na gari wanataka kuendesha!!!
  9. I

    JamiiForums Tanzania Zitto arudishiwa uongozi wa Bunge na CHADEMA, wamtambua Kikwete

    Sema kidogo mzee mwanakikiji. Tunapenda kusikia maneno yako katika hili!
  10. I

    JamiiForums Tanzania Zitto arudishiwa uongozi wa Bunge na CHADEMA, wamtambua Kikwete

    Hovyoo!
  11. I

    JamiiForums Tanzania Zitto arudishiwa uongozi wa Bunge na CHADEMA, wamtambua Kikwete

    Ni kweli amemaliza yote.Tujenge Chama chetu badala ya malumbano kila kukicha. 'Kama una akili basi wako wenye akili kukuzidi' hii imetulia sana.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Spika Makinda Press Conference Live!.

    Ni muda tu utatuambia katika utendaji wa speaker wetu mpya. Mara nyingi,mkutano wa kwanza utatupa mwanga hasaaa kuhusu madame. Anatakiwa asome alama za nyakati na atekeleze nini Watanzania wanataka na si watu fulani wanataka.
  13. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

    kauli yako ina maana gani?tupe ufafanuzi
  14. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  15. I

    JamiiForums Tanzania CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa CHADEMA,safi wanamageuzi wote,asanteni sana Watanzania.Historia itawakumbuka sana.Wale hawatausahau mwaka 2010.Na MBADO!!:smile-big:
Back
Top Bottom