Recent content by incharge

  1. I

    JamiiForums Tanzania Futa milele leseni zote za madereva waliogoma bila kufuata utaratibu.

    Wapuuzi hawataki kufuata sheria
  2. I

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Mmeshindwa na mambo yenu ya udini huko chadema mnaanza maneno ya umbea umbea
  3. I

    JamiiForums Tanzania Zuchu kamchamba sana Mama Dangote kwenye 40 ya mwanaye

    Hivi kweli unaacha kufikiria mambo yoote unamuwaza zuchu?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

    Muulize emmanuel eboue wa arsenal kuhusu kupenda foreigners, hakuna sehemu taasisi ya ndoa inaheshimiwa kama africa especially Tanzania, zunguruka dunia nzima utakuja kuniambia
  5. I

    JamiiForums Tanzania Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

    Na wao wana watoto na wanafamilia, huwa wanaumwa sasa hilo beef waliolianzisha na madaktari mshindi ni mmoja tu, waache kujichukulia sheria wanatakiwa wasimamie sheria, kwanza polisi hakutakiwa kuchukua funguo za mtu ,pili hadi kupigwa lazima ali mprovoke yule daktari, tatu polisi kama...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu waislamu hebu legezeni kamba za imani, kiongozi wa kitaifa akitangulia isiwe tangazo la msiba saa nne, saa nne, saa saba maziko

    Kasome john 13, na matayo 26 36 , yesu alikuwa anasali kwa kusujudu
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu waislamu hebu legezeni kamba za imani, kiongozi wa kitaifa akitangulia isiwe tangazo la msiba saa nne, saa nne, saa saba maziko

    Huna unachojua zaidi ya kutoa sababu kutokana na uwezo wako mdogo wa kufikiri , hujui kama zamani watu ikiwemo waarabu walikuwa na uwezo wa kuhifadhi hata nyama kwa njia zao na inakaa muda mrefu bila ya kuharibika? mtu amekufa unataka ukae na mwili muda mrefu ili iwe nini? Maiti nyumbani kwake...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nadili vipi na huyu mzungu msumbufu asietaka kulipa deni langu.

    Ilikuwaje mkakopana kwenye biashara ya nyumba, biashara ya bnb au kupangisha nyumba ni payment in advance siku zote
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

    Kitila mkumbo
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

    Yes
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

    Yes na amestahili alichofanyiwa, sasa mabasi yalishapewa notice na serikali kwamba ikifika tarehe hii msionekane shekilango yeye ni kiburi kinamsumbua, na ana bahati sana,alitakiwa akae hata aiku tatu ili iwe fundisho kwa watu wanaofharau amri halali za serikali kisa hela, mbona kina bakhressa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

    Amri haramu zina njia zake kisheria kuzi challenge na watu wengi tu wameishinda serikali, alichokifanya tilisho kisipodhibitiwa nchi itakuwa kama congo kila mtu mtemi, tusitetee ujinga
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

    Upo sahihi hatuna jema sasa mtu anapinga amri halali ya serikali tena hadharani wanataka abembelezwe labda ,tena enzi za magufuli angekaa ndani hata mwezi kudadeki zake
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

    Sasa eneo limefungwa na serikali kutumika yeye analeta kiburi na dharau kwa mamlaka anafungua ,hapo kweli utailaumu mamlaka? Ajitambue na yeye vipesa kidogo tu anavimba mabega, alistahili alichpfanyiwa
Back
Top Bottom