Recent content by Inapendeza

  1. I

    JamiiForums Tanzania Wabunge Babutale na Mwana F A Kazi yao ipi bungeni?

    Hao ni wagonga meza tu.....kwisha Bunge bila upinzani hakuna hamsha hamsha
  2. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa vidonge bora vya kuongeza Calcium mwilini

    Habari, wadau naomba ushauri wa vidonge vizuri vya (calcium supplements). Nina tatizo mfupa wa mguu ulivunjika. Nataka calcium ili kusaidia kuunga faster. Balanced diet najitahidi kula. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimevunjika mfupa wa mguu kwa chini (tibia)

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimevunjika mfupa wa mguu kwa chini (tibia)

    Mkuu Atusaidie connection tumuone Sent using Jamii Forums mobile app
  5. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimevunjika mfupa wa mguu kwa chini (tibia)

    Asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimevunjika mfupa wa mguu kwa chini (tibia)

    Mkuu Hospital wameniweka plate kwa ndani Ndio maana naomba msaada kwa solution zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimevunjika mfupa wa mguu kwa chini (tibia)

    Asante sana Nina 40 years Sent using Jamii Forums mobile app
  8. I

    JamiiForums Tanzania Masala Gomolo:Umevunjika mfupa, njoo uponywe

    Mwenye namba ya simu ya mganga??? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimevunjika mfupa wa mguu kwa chini (tibia)

    Wadau, Kama kichwa cha habari kinavyosema, matibabu hospital nimepata, ila naomba ushauri kama kama kuna supplement au dawa yeyote itakayonisaidia kuunga mfupa na haraka zaidi. Christmas njema Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    JamiiForums Tanzania MOI mnataka tushindwe kumlipia ndugu yetu gharama za matibabu?

    Dah Imenikuta hii issue...ilikuwa kila nikienda kwa ajili ya operation naambiwa next week Mpaka nikasepa hospital private Dah shida Sent using Jamii Forums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mkopeshe au mpe mtaji Ndugu yako wa Kiume for your own risk!

    Duh....tukue tuyaone
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ajali Mlimani City: Yadaiwa watu watatu wamefariki

    RIP Majanga haya
  13. I

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya ya wahudumu wa baa

    Ila hii kitu , wengi tunaokula vitu imetupata
  14. I

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya ya wahudumu wa baa

    Yani unaends bar , mhudumu anakuomba bia unaruhusu apewe, matokeo yako atajizungusha wee.....kinywaji asinywe na anasuka mpango kaunta wanampa hela baada ya kile kinywaji.. Wanaboa sana,,,,kutuona wateja maboya
  15. I

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Uzi mubashara Asanteni wadau
Back
Top Bottom