Recent content by Inanambo

  1. Inanambo

    GE2025 Utaratibu Mpya wa CCM kwa Ubunge 2025: Gharama, Mchujo, na Ukweli Usioambiwa

    Hao Watatu wanaorudishwa Jimbo ni kupigiwa kura Watajinadi? Au Wajumbe wanapigia Kura jina bila kumuona na kumsikia mtia nia?
  2. Inanambo

    Majaliwa kastaafu siasa au kastaafishwa?

    Nani siyo Mzee? Acheni kubeza Wazee Uongozi siyo kubeba Zege. Ni Utulivu, Busara na Hekima. Ahaaaa Ujana ndiyo uongozi au Majigambo?? Trump , Museven, hwaongozi tena kwa ufanisi mkubwa? Njaa tuu na uchawa unawasumbua nyie mnaojiita Vijana.
  3. Inanambo

    Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

    Trump anatukanwaaa mpaka anachorwa. Kama kosa lake ni kutukana angekamatwa ashtakiwe akakae selo. Hii kuvamiwa, kupigwa nyundo na kuburuzwa hadi damu zinachurizika siyo Ubinadamu.
  4. Inanambo

    Arusha kuweni serious suala la Mbunge ajaye

    Ina maana asingeletwa kuwa RC Arusha walikuwa hawana Mbunge? Huyu chati yake imepaa baada kuwa RC hapo Arusha. Gambo naye mmmh sijui Kunguru yupi kamnyea🙆🙆Ila kusema kweli sijawahi ona Leadership wala Managerial ya Gambo tangu akiwa RC.
  5. Inanambo

    PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

    Sawa ni Mmasai / Mwarusha. Mpeni hata Mchina mkitaka.
  6. Inanambo

    PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

    Makonda siyo Mkaazi wala Mzawa wa Arusha. Amepitishwa hapo kikazi. Hao uliiwataja wana Sifa ya Makazi na Uzawa. Basi wewe nyanyuka ulipo nenda ZNZ au Pemba ukatangaze kugombea.
  7. Inanambo

    "Wanawake Wenzako". Hii Ni Kauli Ya Dharau Sana Iliyotolewa Na Luhaga Mpina Kwa Amiri Jeshi Mkuu. Imeniudhi Sana

    Niliposikia matamshi haya "Nikajua kuna Jinai"🙆🙆😭🤣
  8. Inanambo

    PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

    Mtu anakuja miaka 3 anataka na Ubunge hapo!!Ingependeza Wazawa wawakilishe jimbo zao. Makonda aende Kolomije kunamfaa not Arusha mjini.
  9. Inanambo

    Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

    Waluga luga wachunga ngombe company zao ni mifugo hawana exposure
  10. Inanambo

    Askofu Gwajima akili kubwa sana, awauza polisi

    Huko aliko natamani atimize ile Ahadi yake ya "Wakiendelea kunichonoa nitaanika kila kitu"
  11. Inanambo

    Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

    Wako wapi Wanaume wa Tanganyika?
  12. Inanambo

    PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

    Kwenye Press release ya Gwajima kosa lake ni nini katika yale aliyoyasema? Maskini Mdude, Soka, nilizani Watekaji watakemewa wawàrudishe.😭😭 ndiyo hivyo tena. Mungu wa Miujiza ebu dhihirisha uwepo wako utupe Kitendawili cha hawa Watekwaji.
  13. Inanambo

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mimi tangu aliposaini mafao ya Kikokotoo kwa Wazee wastaafu furaha yangu kwake ilifutika. How comes Mtumishi ametumikia Nchi 40 years anapitisha apewe 35M ilihali alistahili 120M. ?? Kwani hakuweza kuona wenye mishahara midogo wakipewa Mafao ya Kikokotoo unawaharibia maisha yao ya Uzeeni? Hajui...
  14. Inanambo

    PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    Si ndiyo wamesema mkajibishane na Mabaraza ya Vitongoji na Mitaa siyo saizi yenu. Mwenye Elimu hawezi kujibu hoja kwa njia za Mipasho. Hoja vs Hoja. Mnaita watu Kenge why? Professor Muhongo anaweza hivyo au Dr Mwakyembe? Elimu muhimu kwa Wabunge.
  15. Inanambo

    PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    Kununua Chakula cha ziada kwa Jirani ubaya uko wapi? Hatuwapi bure wanakuja kuongezea Wakulima wetu Kipato. Hata Tz tulishanunua Mahindi Malawi nà Zimbabwe. Hamtaki kaeni nayo muwape Mifugo wataenda Uganda na Ethiopia kununua au wataimport toka USA. "Money speaks"
Back
Top Bottom