Recent content by in need

  1. I

    Humphrey Polepole live Channel Ten: Urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tatizo la wanama ndo hilo hawajua ataongea nini wanakurupuka na kukomenti vibaya nyie watu gani?
  2. I

    Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

    hiyo ni list ya timu za mpira za taifa
  3. I

    Nape aita waandishi wa habari Lumumba kujibu mapigo ya UKAWA

    ukiona timu inakazi ya kuzuia tu na haifanyi mashambulizi mapya. ujue ipo mbioni kupoteza ushindi hivyo ndivyo wakati walio nao ccm
  4. I

    Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    magufuli:ile kauli uliyo itoa kuwa unataka kutoa laptop kwa walimu ili kuinua elimu;uliwaza kweli ama ulikupuka? je unadhani walimu wa leo ndo wale wa karne ya baba wa taifa.Tafadhali kama kweli unataka kuinua elimu na maailahi kwa walimu yakupaswa ufanye uchunguzi je elimu inaporomoka...
  5. I

    Dr. Slaa hatimaye aibuka

    muda wake wa umaarufu ndo usha expire
Back
Top Bottom