Duu. Uko hasi sana kiongozi . Utafanya hata waliopewa majukumu ya kulisogeza mbele wakate tamaa. Wapewe muda ingawa kuna hoja mbele yake. Ngoja tuone kazi yake.
Ni kweli, lkn biashara na jina vina maana kiongozi. linaakisi mtazamo wa wapi tunakwenda na msingi wa utendaji kazi. kuitwa shirika la umma, hapo tutegemee na utendaji wa mlolongo wa masharti katika maamuzi na kupunguza ufanisi.
Hongera waandishi mlioibua changamoto za shule. sasa imekuwa ya kutokea kwa baadhi huku vijana wakiendelea kujipanga kwa madarasa mapya. Tembelea shule nyingine kama hizo ziko mikoa mingi hapa tanzania.
Hili ni jina fake. Communication maana yake nini. Wangeiita Tanzania Telcom kama zamani wala halikuwa na shida. Lkn kubadili na kuweka jina lisilo na maana, naona haijakaa vema. Ni mtazamo tu. wataalam mje kusaidia hapa.
Kiongozi, sheria zipo wazi kabisa. zilizopo zinatosha na mahakama zipo. hatuwezi kutunga sheria ya tuhuma. tuache kuishi kwa hisia na tuhuma tuhuma kwa sababu binafsi za kutompenda mtu. katafakari vema hoja, iko chini ya kiwango.
Mfumo ndio tatizo .
Pia, kuna tatizo kubwa la wateule wengi kuwa wababe badala ya kuongoza watu.
TBA yatawakuta pia kwa miradi mikubwa waliyopata, hawana capacity ya kujenga miundo mbinu kama invyodhaniwa. Miradi mingi inaweza kushindwa kufikia malengo. Umakini unahitajika zaidi.
SERIKALI NDIYO ILIYOFILISI KWANI ILIBAMBIKIZA NA MADENI YA NYUMA YA MIAKA KABLA PSPF HAIJAANZA. PIA KUUNGANISHA NI JANGA KUBWA TUTEGEMEE HAPO BAADAYE. WAFANYAKAZI NA VYAMA VYA WAFANYAKAZI WANAONA HALIWAHUSU, LKN TEGEMEA KIAMA MIAKA IJAYO.
Pia kuna viongozi wengi tu wamestaafu na kulipwa...
Naunga Mkono. Hoja Fikirishi kwa waelewa. Salum mwalimu yuko vizuri, hakurupuki na hana siasa za kishabiki. All the best nadhani Wanaccm watampa pia Kura. Mtua ameharibu sana CV yake. Unagombea kuingia upande wa pili kwa mbeleko ya Mkiti, sio njema sana kwa demokrasia ya chama tuliyoizoea.
Bado kuna tatizo.Walimu hawachangishi fedha bila kushirikisha wazazi kupitia kamati za shule. Walimu ni wasimamizi wa makubaliano kati ya walimu na wazazi. Hapa naona walimu wanapata lawama zisizo zao. Inawezekana baadhi ya shule lkn najua kila shule ina kamati ya shule ambayo wajumbe ni wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.