Kama wanataka kutumia kanzi data basi waangalie watu waliofanya usaili huko nyuma kuanzia 2017 Hadi sasa ,nasema Hivi kwa sabau gani Kuna watu waliofanya usaili mwaka 2019 wakiwa na miaka 25 hawakuitwa kazini Kutokana na nafasi kuwa chache wahitaji ni wengi lakini hawakuitwa .. usaili unaokuja...
Kikubwa ni kuwatia hamasa kama mhe.raisi wetu amewaahidi donge nono endapo watafuzu kwenye AFCON pia wajengewe Imani kubwa kwamba tunaweza ...na sio kuwakatisha tamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.