Yah, nilipata PEP baada ya kipimo cha HIV ndipo nikapewa dawa kwa ajili ya kinga, wakasema napaswa kupima tena mwezi march
Nilikwenda hospital jioni ya siku hiyo hiyo ya tukio maana nilikua najisikia vibaya sana, hospital wakasema ni sababu ya dawa za kulevya hazijaisha mwilini nikapewa drip...
Nawashukuru wote kwa ushauri na mawazo yenu, nipo kimya kwa kuwa sio rahisi kama mnavyofikiri, mmeuliza vitu vingi nimeshindwa hata namna ya kujibu, naomba nijibu machache
Hospital nilipewa contact za watu wa counseling, na ninaendelea vizuri, ndio maana nimepata hata nguvu za kuandika haya...
Mwishoni mwa mwezi December baadhi ya wafanyakazi tulikubaliana weekend moja tukae pamoja kama party get together, tukachagua hotel moja tukaenda, tulikua kama 18 hivi, kila mtu alijigharamia mwenyewe kula na kunywa, kuna mkaka mmoja huwa napanda sana lift yake kwenda kazini karibu kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.