Recent content by Imeloa

  1. I

    JamiiForums Tanzania Aliyemrithi ubunge Keir Starmer, waziri mkuu mstaafu Uingereza.

    Wangekuwa wabaguzi huyo nani angemjua, huyo angekuwa katika nchi kama Russia au China labda angesharejeshwa kwao alikotoka. Ni katika nchi za magharibi tu ndio hao wanaweza kufikia kiwango hicho.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yakubali kuzuia marubani na wahudumu wa ndege wa kiislamu

    Magaidi wapo popote hata hapa Tanzania tunao lakini tuko tayari kupambana nao hadi watakapokubali kuwa waungwana na kuabudu Mungu kiukweli.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso ndiyo nchi pekee ya Afrika yenye trade surplus.

    Kuna wakati Japan nayo ilikuwa na hali kama hiyo hata China na Korea Kusini pia zina hali hiyo. Kwa nchi kama Tanzania ni ngumu kuwa na ziada ya kibiashara kwa sababu nchi haina cha maana cha kuuza nje ila inaagiza karibu kila kitu kutoka nje ya nchi.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Trump ampigia magoti Putin kuomba mafuta

    Wewe unazungumza ukiwa wapi na unafahamu mimi niko wapi.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Trump ampigia magoti Putin kuomba mafuta

    Kila mtu humu ana haki ya kutoa maoni yake lakini usitegemee maoni yangu yafanane na ya kwako, hilo haliwezekani kabisa.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Sanasana ni hiyo HDI lakini GDP inapotosha sana. Marekani ndio ina GDP kubwa zaidi kuliko nchi nyingine yoyote duniani lakini kuna nchi nyingi duniani zenye GDP ndogo kuliko hiyo ya Marekani lakini wananchi wao wana maisha mazuri zaidi kuliko wamarekani wengi.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Trump ampigia magoti Putin kuomba mafuta

    Nyie ndio wale mnaleta taarifa feki toka masjid ubwabwa.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kuna members wamepotea sana humu Jf since july kuna usalama kweli?

    Sio huyo bwana.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu mgogoro wa Ukraine dhidi ya Urusi ukilinganisha na ule wa Iran dhidi ya Marekani

    Magaidi wa Houthi sasa hivi wanapatiwa kipigo kibaya sana na sio muda mrefu wataangamizwa kabisa kwani Iran hana uwezo tena wa kuwasaidia hao magaidi wao.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Trump ampigia magoti Putin kuomba mafuta

    Hapo Russia ndio kapumua kwa kuregezewa vikwazo hivyo kwa muda wa miezi takriban sita na baada ya hapo vikwazo vitaendelea kuuma. Russia amekuwa ni mhanga wa vikwazo kwa muda mrefu hali ambayo imepelekea maisha kuwa magumu sana kwa wananchi wengi nchini Russia. Kuregezewa vikwazo kwa Russia...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Kwa taarifa yako akianguka Netanyahu kwenye uchaguzi atakayeingia atakuwa ni mbaya zaidi kwa magaidi kuliko Netanyahu.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Sasa kama Israel tu nchi yenye watu milioni 10 ina Nominal GDP ya USD billion 720 na Tanzania nchi ya watu milioni 70 GDP yake haijafika hata USD billion 100 huoni kwamba kuna tatizo kubwa na kama tungekuwa na akili timamu tungekaa kimya kabisa tusiongelee hayo mambo ya GDP kwa sababu ni aibu tupu.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kuna members wamepotea sana humu Jf since july kuna usalama kweli?

    Sidhani kama ni huyo maanake nilisikia kwamba alikuwa akiishi nje ya Tanzania.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Nusu ya watanzania bado wanaishi chini ya dola moja kwa siku huku huduma za jamii zote zikiwa mbaya kuliko kipindi chochote kile toka nchi ijipatie uhuru halafu kwenye makaratasi machawa wanasifia kwamba uchumi umekua..!! Hizo takwimu feki za kupika hazisaidii wananchi wanaopambana na hali...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Zelensky ameambiwa hayuko salama popote alipo hata anakojificha ...

    Hata Putin mwenyewe naye ni hivyo tu huko aliko, hana amani kabisa.
Back
Top Bottom