Wewe ndio mweupe kwanza sisi toka wameweka hizo sola sijaona kama kuna mahali zimeibiwa na kama kuna mahali zimeibiwa basi hali siyo mbaya kama unavyo tuaminisha.kuhusu wageni kupigwa zuchu alistahili kichapo . kuna mtu ameongelea Udini sio kweli kwa sababu kitongoji ninacho kaa mwenyekiti wetu...
Kwa upande wangu niko tofauti kidogo na wewe hawa chadema wamekata tamaa hawana lengo la kushika dola wana lengo la kutafuta mkate wa kila siku tofauti na mwanzo hivyo wananchi wamechoka kusikia ngonjela ambazo hazina matokeo chanya nijuavyo mimi ccm haina uwezo wa kuongoza nchi ni vile tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.