Sio tu Rwanda na uganda pekee mbona warundi wanavaaga hivyo hivyo tena siotu kwenye sherehe /shughuri Bali hata makasani wanavaa jiridhishe kwa ku Fanya tafiti ya kutosha ndugu mhariri
Hujui lolote kaka kwani katika jamii ya waha wa mkoani kigoma kuna tabaka tatu yaani watutsi,wahutu ,watwa kama jamii za wanyarwanda na warundi kwa hiyo unapo sema waha hujui ulizungumzalo maana waha ni mjumuisho wa tabaka hizi tatu hivyo maswara ya upambe na kudharau kabila za wengine acha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.