Recent content by Imani2018

  1. Imani2018

    JamiiForums Tanzania Chakula kipi cha kupeana nguvu za kiume

    Naona nimefika kwa daktari. Asante sana kwa jibu lako hilo
  2. Imani2018

    JamiiForums Tanzania Chakula kipi cha kupeana nguvu za kiume

    Jamani niwaulize wenzangu, chakula kipi ukimpa mwanamume mambo yanakuwa safi kitandani? Ama wewe kama mwanamume kipi ukila unapeana huduma ya nguvu?
  3. Imani2018

    JamiiForums Tanzania Tatizo linalopata wasichana warembo

    Hivi unajua unaweza ukatongozwa sana na ukakosa kuolewa? Hili ndio tatizo linalopata wasichana wengi warembo. Watu wataka kutembea na wewe tu ili wapate kiki lakini hakuna atayekwambia ywataka ndoa. Kwa hiyo msimcheke Wema sepetu manake labda huyu jamaa hovyo ndio peke yake aliyetaka ndoa...
Back
Top Bottom