Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nimemaliza elimu ya Secondary mwaka 2012. Mimi ni mchapa kazi na mtiifu sana.Ninatafuta mtu yeyote mwenye kuhitaji kijana wa kazi ya kuuza duka lolote la bidhaa za rejareja au jumla. Nimesomeamasomo ya biashara yaani Book-keeping na Commerce.
Pia nimesomea...
Naombeni kwa mwanamke mwenye vigezo vifuatavyo na aliyetayari kuwa kwenye mahusiano anitafute, mnene, mpole, mkweli, muwazi.
Kama yupo anitumie Email kupitia imani.mangowi@gmail.com
Mimi ni kijana wa miaka 21 nimemaliza elimu ya sekondari mwaka 2012. Natafuta kazi mojawapo kati ya hizi;
Sekretari au Shopkeeper kwani nimesomea masomo ya Book-keeping na Commerce.
Pia nimesomea Computer na nimesomea software zifuatazo;
1. Microsoft Word
2. Microsoft Excel
3. Microsoft...
Mimi ni mvulana nimemaliza kidato cha nne na nimesomea masomo ya book-keeping na Commerce naomba kama naweza kupatiwa nafasi hiyo. Ahsante. 0655191544 na 0757191544
Mimi ni kijana wa miaka 21 nimemaliza elimu ya sekondari mwaka 2012. Natafuta kazi mojawapo kati ya hizi;
Sekretari au Shopkeeper kwani nimesomea masomo ya Book-keeping na Commerce.
Pia nimesomea Computer na nimesomea software zifuatazo;
1. Microsoft word
2. Microsoft excel
3. Microsoft...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.