Recent content by Imali1900

  1. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania imenyimwa msaada wa fedha za MCC?

    Huyo fala mwengine Google eti $472 itasaidia nini jiulize babako anazo? Sisi waafrika ni kama manyumbu tu hatujijui hatujitambui tunaenda tu kila kitu sisi ni shida tuuu.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania imenyimwa msaada wa fedha za MCC?

    Asijidanganye tutarudi enzi zile za Unga manjano na shida chungu nzima mwenzake enzi hizo alijifanya kiburi na maskini jeuri akatuketea wananchi wake shida na njaa kila kitu hakuna. Katizameni Zimbabwe halafu mtajua mkishiba hamjui shida
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 8 wa JWTZ watiwa mbaroni wakituhumiwa kumuua raia waliyedai kawaibia simu yao

    Hakika wanajeshi wa Tanzania ni moja wapo ya jeshi ambalo halina nidhamu kabisa katika ulimwengu. Wanavunanja sheria waziwazi mabarabani wanapiga raia na kuwanyanyasa wakati wowote na mahali popote na hakuna anaethubutu kukemea hata kwa mdomo
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Nchi ilimshinda
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Ndege Airbus Aliyoongelea Rais Magufuli

    Matatizo zaidi yatakuja baada ya kununuliwa
Back
Top Bottom